sw_tn/lev/26/46.md

62 lines
2.4 KiB
Markdown

# amru, kuamru, amri
Ule msemo "amru" humaanisha kumwagiza mtu mwingine kufanya jambo fulani. "Agizo" au "amri ni kile mtu aliagizwa kufanya.
. Ingawaje misemo hii yote inamaana moja
kimsingi, maraa kwa mara "amri" hurejelea
maagizo fulani ya Mungu amabayo yako rasmi
zaidi na ya kudumu, kama vile "amri kumi"
. agizo laweza kuwa chanya ("Heshimu wazazi
wako") au hasi ("Usiibe")
. "Kuchukua amri" humaanisha "kuchukua udhibiti" au "shika madaraka" ya kitu kitu fulani au mtu mwingine.
# Agizo
Agizo ni tangazo au sheria amabayo hutangazwa hadharani kwa watu wote.
. Sheri za Mungu pia huitwa maagizo,
masharti au amri.
. kama vile sheria na amri, maagizo lazima
yatiiwe
. Mfano wa agizo lililotolewa na mtawala
mwanadamu ni lile tangazo lililotolewa na
Kaisari Augusto kwamba kila aliyekuwa
akiishi katika Dola la Kirumi lazima arudi
katika mji wa nyumbani kwao apate
kuhesabiwa kwenye sensa.
. Kuagia kitu fulani humaanisha kutoa amri
ambayo lazima itiiwe. Hii ingeliweza
kutafsiriwa kama, "kuagiza" au "kuamru" au "kudai kirasmi" au kutengeneza sheria hadharani."
. Jambo fulani "lililotangazwa" kutokea humaanisha kwamba hakika hili litatokea. au lililokwisha kusudiwa na halitabadilishwa" au "limetangazwa kabisa kabisa kwamba litatokea."
# sheria, sheria ya Musa, sheria ya Mungu, sheria ya Yahweh
Misemo hii yote hurerjea amri na mfundisho ambayo Mungu alimpa Musa kwa ajili ya Waisraeli kuzitii. Ile misemo "sheria" na sheria ya Mungu" kwa ujumla pia imetumika kumaanisha kila kitu ambacho Mungu anawatakawatu wake kutii.
. Kwa kutegemeana na muktadha, sheria
yaweza kumaanisha:
. zile amri kumi ambazo aliziandika kwenye
mbao za mawekwa ajili ya Waisraeli.
. sheria zote alizopewa Musa
. vile vitabu vitano vya kwanza vya Agano la
Kale.
. Agano la Kale lote (pia hurejelewa kama
"maandiko" katika Agano Jipya.
. Mafundisho yote na maenzi ya Mungu
. Kile kirai" sheria na manabii" katika
Agano Jipya kimetumika kumaanisha
maandiko ya Kiebrania (Agano la Kale)
# Sinai, Mlima Sinai
Mlima sSinai ni jina la mlima ambao huenda kulikuwa upande wa eneo linaitwa kwa sasa rasi ya Sinai. Pia lilijulikana "Mlima Horebu."
. Mlima Sinai ni sehemu kubwa ya jangwa
lenye miamba. Waisraeli walikuja kwenye
Mlima Siani walipokuwa wakisafiri kutoka
Misri kwenda kwenye Nchi ya Ahadi.
. Mungu alimpa Musa zile amri kumi juu ya
Mlima Siani