sw_tn/lev/26/46.md

2.4 KiB

amru, kuamru, amri

Ule msemo "amru" humaanisha kumwagiza mtu mwingine kufanya jambo fulani. "Agizo" au "amri ni kile mtu aliagizwa kufanya.

. Ingawaje misemo hii yote inamaana moja kimsingi, maraa kwa mara "amri" hurejelea maagizo fulani ya Mungu amabayo yako rasmi zaidi na ya kudumu, kama vile "amri kumi"

. agizo laweza kuwa chanya ("Heshimu wazazi wako") au hasi ("Usiibe")

. "Kuchukua amri" humaanisha "kuchukua udhibiti" au "shika madaraka" ya kitu kitu fulani au mtu mwingine.

Agizo

Agizo ni tangazo au sheria amabayo hutangazwa hadharani kwa watu wote. . Sheri za Mungu pia huitwa maagizo, masharti au amri. . kama vile sheria na amri, maagizo lazima yatiiwe

. Mfano wa agizo lililotolewa na mtawala mwanadamu ni lile tangazo lililotolewa na Kaisari Augusto kwamba kila aliyekuwa akiishi katika Dola la Kirumi lazima arudi katika mji wa nyumbani kwao apate kuhesabiwa kwenye sensa.

. Kuagia kitu fulani humaanisha kutoa amri ambayo lazima itiiwe. Hii ingeliweza kutafsiriwa kama, "kuagiza" au "kuamru" au "kudai kirasmi" au kutengeneza sheria hadharani."

. Jambo fulani "lililotangazwa" kutokea humaanisha kwamba hakika hili litatokea. au lililokwisha kusudiwa na halitabadilishwa" au "limetangazwa kabisa kabisa kwamba litatokea."

sheria, sheria ya Musa, sheria ya Mungu, sheria ya Yahweh

Misemo hii yote hurerjea amri na mfundisho ambayo Mungu alimpa Musa kwa ajili ya Waisraeli kuzitii. Ile misemo "sheria" na sheria ya Mungu" kwa ujumla pia imetumika kumaanisha kila kitu ambacho Mungu anawatakawatu wake kutii. . Kwa kutegemeana na muktadha, sheria yaweza kumaanisha: . zile amri kumi ambazo aliziandika kwenye mbao za mawekwa ajili ya Waisraeli. . sheria zote alizopewa Musa . vile vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale. . Agano la Kale lote (pia hurejelewa kama "maandiko" katika Agano Jipya. . Mafundisho yote na maenzi ya Mungu . Kile kirai" sheria na manabii" katika Agano Jipya kimetumika kumaanisha maandiko ya Kiebrania (Agano la Kale)

Sinai, Mlima Sinai

Mlima sSinai ni jina la mlima ambao huenda kulikuwa upande wa eneo linaitwa kwa sasa rasi ya Sinai. Pia lilijulikana "Mlima Horebu." . Mlima Sinai ni sehemu kubwa ya jangwa lenye miamba. Waisraeli walikuja kwenye Mlima Siani walipokuwa wakisafiri kutoka Misri kwenda kwenye Nchi ya Ahadi. . Mungu alimpa Musa zile amri kumi juu ya Mlima Siani