sw_tn/lev/26/23.md

24 lines
1012 B
Markdown

# Endapo pamoja na mambo haya
"Iwapo nitaadhibu ninyi kama hivi" au 'Iwapo nitawwadibisha ninyi kama hivi na"
# msiyakubali marekebisho
Kukubali marekebisho yake huwakkilisha kuitikia kwake kwa usahihi. Katika jambo hili kuitika kwa usahihi kwake ni kuchagua kumtii Yeye. : "bado hamsikilizi marudi yangu" au "bado hamtaki kunitii Mimi"
# kuenenda katika upinzani dhidi yangu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chake humaanisha kumpinga Yeye au kupigana dhidi Yake. : "kunipinga" au "pigana dhidi yangu"
# nami pia nitaenenda kinyume chenu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chao humaanisha kuwapinga au kupigana dhidi yao. : "Pia Nami nitapigana dhidi yenu"
# Mimi mwenyewe nitawaadhibu mara saba
Namba 7 huwakilisha ukamilifu. : "Mimi mwenyewe binafsi nitawaadhibu mara nyingi" au "Mimi mwenyewa nitawaadhibu kwa ukali wa hali ya juu"
# kwa sababu ya dhambi zenu
le nomino dhambi yaweza kuelezewa na kitenzi "tenda dhambi." : "kwasababu mnaendelea kutenda dhambi dhidi yangu"