# Endapo pamoja na mambo haya "Iwapo nitaadhibu ninyi kama hivi" au 'Iwapo nitawwadibisha ninyi kama hivi na" # msiyakubali marekebisho Kukubali marekebisho yake huwakkilisha kuitikia kwake kwa usahihi. Katika jambo hili kuitika kwa usahihi kwake ni kuchagua kumtii Yeye. : "bado hamsikilizi marudi yangu" au "bado hamtaki kunitii Mimi" # kuenenda katika upinzani dhidi yangu Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chake humaanisha kumpinga Yeye au kupigana dhidi Yake. : "kunipinga" au "pigana dhidi yangu" # nami pia nitaenenda kinyume chenu Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chao humaanisha kuwapinga au kupigana dhidi yao. : "Pia Nami nitapigana dhidi yenu" # Mimi mwenyewe nitawaadhibu mara saba Namba 7 huwakilisha ukamilifu. : "Mimi mwenyewe binafsi nitawaadhibu mara nyingi" au "Mimi mwenyewa nitawaadhibu kwa ukali wa hali ya juu" # kwa sababu ya dhambi zenu le nomino dhambi yaweza kuelezewa na kitenzi "tenda dhambi." : "kwasababu mnaendelea kutenda dhambi dhidi yangu"