sw_tn/lev/26/07.md

12 lines
375 B
Markdown

# nao wataanguka mbele yenu kwa upanga
"Kuanguka" hapa huwakilisha kufa, na "upanga" huwakilisha ama kushambulia watu kwa upanga au vita kwa ujumla"
# Watu wenu watano watafukuza adui mia moja, na watu wenu mia moja watafukuza adui elfu kumi
Hii humaanisha Waisraeli watakuwa na ushindi dhidi ya majeshi makubwa.
# tano ... mia moja ... elfu kumi
"5 ... 100 ... 10,000"