sw_tn/lev/26/07.md

375 B

nao wataanguka mbele yenu kwa upanga

"Kuanguka" hapa huwakilisha kufa, na "upanga" huwakilisha ama kushambulia watu kwa upanga au vita kwa ujumla"

Watu wenu watano watafukuza adui mia moja, na watu wenu mia moja watafukuza adui elfu kumi

Hii humaanisha Waisraeli watakuwa na ushindi dhidi ya majeshi makubwa.

tano ... mia moja ... elfu kumi

"5 ... 100 ... 10,000"