sw_tn/lev/26/03.md

447 B

mtatembea katika sheria zangu na kuzishika amri zangu na kuzitii

Kuna njia tatu za kuseama jambo lile lile. Yote husisitiza kwamba ni lazima watu watii kila kitu anachowaamru Mungu kufanya. "kama mtazitii kwa uangalifu sheria na amri zangu"

mtatembea katika sheria zangu

Mwenendo kulingana na sheria umezungumziwa kana kwamba ulikuwa kutembea katika sheria. : "kama mtaenenda kulingana na sheria" au "kama mtaishi kulinga na sheria zangu"