forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
447 B
Markdown
8 lines
447 B
Markdown
|
# mtatembea katika sheria zangu na kuzishika amri zangu na kuzitii
|
||
|
|
||
|
Kuna njia tatu za kuseama jambo lile lile. Yote husisitiza kwamba ni lazima watu watii kila kitu anachowaamru Mungu kufanya. "kama mtazitii kwa uangalifu sheria na amri zangu"
|
||
|
|
||
|
# mtatembea katika sheria zangu
|
||
|
|
||
|
Mwenendo kulingana na sheria umezungumziwa kana kwamba ulikuwa kutembea katika sheria. : "kama mtaenenda kulingana na sheria" au "kama mtaishi kulinga na sheria zangu"
|