sw_tn/lev/25/49.md

789 B

mpaka mwaka wa Yubile.

Mwisraeli angeweza kuwa mtumwa mpaka mwaka wa Yubile. Haya maelekezo ni kwa ajili ya Mwisiraeli alipotaka kuununua tene uhuru wake kabla ya mwaka wa Yubilee.

mwaka wa Yubile

Tazama maelezo katika sura zilizotangulia

kulingana na kiwango cha mendshahara anaolipwa mtumishi aliyeajiriwa

Endapo Mwisraeli anaununua tena uhuru wake, yule mgeni angeweza kukodi mtumishi ili kufanya zile kazi ambazo mwisraeli angekuwa amezifanya lakini haitakuwa hivyo. Vile vitenzi "kulipwa" na "ajiriwa" zaweza kuelezwa katika mtindo wa utendaji. : "kulingana na kiwango ambacho mtu angelipa ili kukodi mtumishi"

kwa idadi ya miaka ambayo angeweza kuendelea kufanya kazi

kwa idadi ya miaka kufikia Yubileeambayo huyo Mwisraeli angekuwa ameendelea kufanya lakini ameacha.