sw_tn/lev/25/49.md

16 lines
789 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mpaka mwaka wa Yubile.
Mwisraeli angeweza kuwa mtumwa mpaka mwaka wa Yubile. Haya maelekezo ni kwa ajili ya Mwisiraeli alipotaka kuununua tene uhuru wake kabla ya mwaka wa Yubilee.
# mwaka wa Yubile
Tazama maelezo katika sura zilizotangulia
# kulingana na kiwango cha mendshahara anaolipwa mtumishi aliyeajiriwa
Endapo Mwisraeli anaununua tena uhuru wake, yule mgeni angeweza kukodi mtumishi ili kufanya zile kazi ambazo mwisraeli angekuwa amezifanya lakini haitakuwa hivyo. Vile vitenzi "kulipwa" na "ajiriwa" zaweza kuelezwa katika mtindo wa utendaji. : "kulingana na kiwango ambacho mtu angelipa ili kukodi mtumishi"
# kwa idadi ya miaka ambayo angeweza kuendelea kufanya kazi
kwa idadi ya miaka kufikia Yubileeambayo huyo Mwisraeli angekuwa ameendelea kufanya lakini ameacha.