forked from WA-Catalog/sw_tn
4 lines
305 B
Markdown
4 lines
305 B
Markdown
# baada ya Mwisraeli mwenzako kuwa amenunuliwa, anaweza kurejeshwa kwa maliopo. Mtu mwingine katika familia yake anaweza kumkomboa
|
|
|
|
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Baada ya mgeni kumnunua Mwisraeli mwenzako mtu mwingine katika familia ya Mwisraeli aweza kumnunua tena aliyekuwa ameuzwa>
|