sw_tn/lev/25/29.md

523 B

baada ya kuuzwa

"baada ya yeye kuiuza"

haki ya ukombozi

Ile nomino "ukombozi" yawaeza kuelezwa na vitenzi "komboa" au "nunua tena ulichokiuza." : "haki ya kukikomboa"

Kama nyumba hiyo haitakombolewa

Hii yaweza kutmkkwa katika mtindo wa utendaji. : "kama yeye au familia yake hwaikomboi hiyo nyumba"

Nyumba hiyo haitakuwa ya kurejeshwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu aliyeinunua nyumba hiyo hatatakiwa kuirejesha"

Mwaka wa Yubile

Tazama livyotafsiriwa kwenye mistari iliyotangulia.