sw_tn/lev/25/29.md

20 lines
523 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# baada ya kuuzwa
"baada ya yeye kuiuza"
# haki ya ukombozi
Ile nomino "ukombozi" yawaeza kuelezwa na vitenzi "komboa" au "nunua tena ulichokiuza." : "haki ya kukikomboa"
# Kama nyumba hiyo haitakombolewa
Hii yaweza kutmkkwa katika mtindo wa utendaji. : "kama yeye au familia yake hwaikomboi hiyo nyumba"
# Nyumba hiyo haitakuwa ya kurejeshwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu aliyeinunua nyumba hiyo hatatakiwa kuirejesha"
# Mwaka wa Yubile
Tazama livyotafsiriwa kwenye mistari iliyotangulia.