sw_tn/lev/25/26.md

20 lines
491 B
Markdown

# ardhi hiyo ilipouzwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "alipoiuza hiyo ardhi"
# kurejesha kwa mtu aliyemuuzia fedha iliyosalia
Hii yaweza kuwekwa wazi. : "kuilipa hiyo fedha kwa mnunuzi aliyeinunu hiyo ardhi ambayo angekuwa amishailipa"
# mwaka wa Yubile
Tazama lilivyotafsiriwa katika sura 25:10
# ardhi itarejeshwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yule aliyeinunua hiyo ardhi atairejesha"
# atarejea kwenye mali yake
"atarudi kwenye ardhi yake"