# ardhi hiyo ilipouzwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "alipoiuza hiyo ardhi" # kurejesha kwa mtu aliyemuuzia fedha iliyosalia Hii yaweza kuwekwa wazi. : "kuilipa hiyo fedha kwa mnunuzi aliyeinunu hiyo ardhi ambayo angekuwa amishailipa" # mwaka wa Yubile Tazama lilivyotafsiriwa katika sura 25:10 # ardhi itarejeshwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yule aliyeinunua hiyo ardhi atairejesha" # atarejea kwenye mali yake "atarudi kwenye ardhi yake"