sw_tn/lev/25/20.md

380 B

Labda mtasema

"Mtasema" hapa humaanisha watu wa Israeli.

Nitaiamru baraaka yangu ije juu yenu

Mungu anaiongelea baraka yake kana kwamba ilikuwa mtu amabye angeweza kumtii yeye. "Nami nitaituma baraka yangu juu yenu" au "Nami nitawabariki ninyi"

kutoka kwenye riziki iliyohifadhiwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kutoka katika chakula mlichohifadhi"