# Labda mtasema "Mtasema" hapa humaanisha watu wa Israeli. # Nitaiamru baraaka yangu ije juu yenu Mungu anaiongelea baraka yake kana kwamba ilikuwa mtu amabye angeweza kumtii yeye. "Nami nitaituma baraka yangu juu yenu" au "Nami nitawabariki ninyi" # kutoka kwenye riziki iliyohifadhiwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kutoka katika chakula mlichohifadhi"