sw_tn/lev/25/18.md

8 lines
315 B
Markdown

# muyatii maagiza, kuzitunza sheria zangu na kuzitekeleza
Virai hivi vyote humaanisha kitu kimoja. Zinasisitiza kwamba watu wanapaswa kutii kila asemalo Yahweh.
# nanyi mtakula kiasi cha shibe yenu
Hii humaanisha kwamba wangekula vya kutosha mpaka matumbo yao yajae. : "mtakuala mpaka mjazwe" au mtakula tele"