sw_tn/lev/25/18.md

315 B

muyatii maagiza, kuzitunza sheria zangu na kuzitekeleza

Virai hivi vyote humaanisha kitu kimoja. Zinasisitiza kwamba watu wanapaswa kutii kila asemalo Yahweh.

nanyi mtakula kiasi cha shibe yenu

Hii humaanisha kwamba wangekula vya kutosha mpaka matumbo yao yajae. : "mtakuala mpaka mjazwe" au mtakula tele"