|
# Taarifa kwa Ujumla
|
|
|
|
MUngu anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.
|
|
|
|
# ambayo yaweza kuvunwa
|
|
|
|
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "nayowea kuyavuna"
|
|
|
|
# Yubile nyingine
|
|
|
|
"mwaka mwingine wa urejesho" au "mwakamwingine wa kurudisha ardhi"
|