sw_tn/lev/25/15.md

260 B

Taarifa kwa Ujumla

MUngu anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.

ambayo yaweza kuvunwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "nayowea kuyavuna"

Yubile nyingine

"mwaka mwingine wa urejesho" au "mwakamwingine wa kurudisha ardhi"