sw_tn/lev/25/10.md

423 B

mwaka wa hamsini

Hii ni namba ya mpango. : "mwaka wa 50"

Yubile kwa ajili yenu

Yubile ulikuwa mwaka ambao Wayahudi walipaswa kurejesha ardhi kwa wamiliki wake wa asili na kuwaacha huru watumwa. : "mwaka wa urejesho kwa ajili yenu" au "mwaka kwenu wa kurudisha ardhi na kuacha huru watumwa"

mali na watumwa ni lazima warejeshwe

Hii yweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kurudisha mali na watumwa"