sw_tn/lev/25/10.md

12 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwaka wa hamsini
Hii ni namba ya mpango. : "mwaka wa 50"
# Yubile kwa ajili yenu
Yubile ulikuwa mwaka ambao Wayahudi walipaswa kurejesha ardhi kwa wamiliki wake wa asili na kuwaacha huru watumwa. : "mwaka wa urejesho kwa ajili yenu" au "mwaka kwenu wa kurudisha ardhi na kuacha huru watumwa"
# mali na watumwa ni lazima warejeshwe
Hii yweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kurudisha mali na watumwa"