sw_tn/lev/25/05.md

930 B

Hamtasimamia ... wanaoishi pamoja nawe mnaweza kujikusanyia chakula

Katika a 25:5-6 Yahweh anamaanisha hatamruhusu mmiliki wa shamba kuwasimamia wafanya kazi wake na kuivuna nchi kama afanyav miaka mingine sita. Hata hivyo, Yahweh atawaruhusu mtu mmoja mmoja kwenda shambani ili kuokota na kula mda wapatayo.

mizabibu yenu isiyokatiwa matawi

Hii humaanisha kwamba hayupo aliye angaliamizabibu na kukatia matawi kama wafanyavyo katika miaka sita mingine. Hii yaweza kutamkwa atika mtindo wa utendaji. : "mizabibu yenu msiyoikatia matawi"

Chochote ardhi isiyofanyiwa kazi itakachotoa

Chochote kipukacho juu ya ardhi isiyofanyiwa kazi"

ardhi isiyofanyiwa kazi

Hii humaanisha kwamba hakuna mtu aliyeziangalia bustani au mashamba kama wafanyavyo katika miaka sita mingine. Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "bustani zenu msizozitunza"

Chochote ardhi ... itakachotoa

"chochote kiotacho juu ya ardhi"