sw_tn/lev/25/05.md

20 lines
930 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hamtasimamia ... wanaoishi pamoja nawe mnaweza kujikusanyia chakula
Katika a 25:5-6 Yahweh anamaanisha hatamruhusu mmiliki wa shamba kuwasimamia wafanya kazi wake na kuivuna nchi kama afanyav miaka mingine sita. Hata hivyo, Yahweh atawaruhusu mtu mmoja mmoja kwenda shambani ili kuokota na kula mda wapatayo.
# mizabibu yenu isiyokatiwa matawi
Hii humaanisha kwamba hayupo aliye angaliamizabibu na kukatia matawi kama wafanyavyo katika miaka sita mingine. Hii yaweza kutamkwa atika mtindo wa utendaji. : "mizabibu yenu msiyoikatia matawi"
# Chochote ardhi isiyofanyiwa kazi itakachotoa
Chochote kipukacho juu ya ardhi isiyofanyiwa kazi"
# ardhi isiyofanyiwa kazi
Hii humaanisha kwamba hakuna mtu aliyeziangalia bustani au mashamba kama wafanyavyo katika miaka sita mingine. Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "bustani zenu msizozitunza"
# Chochote ardhi ... itakachotoa
"chochote kiotacho juu ya ardhi"