sw_tn/lev/25/03.md

405 B

mtaikatia matawi mizabibu yenu

Kuikatia matawi mizabibu ni kuyawezesha matunda kukua vizuri.

Sabato ya pumziko la utulivu kwa nchi itashikwa

Kutoilima ardhi nikumezungumziwa kana kwamba ni pumziko la nchi. Hii yawweza kukutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kuishika Sabato ya pumziko makini kwa ajili ya nchi" au "yakupasa kuitii sheria ya Sabato kwa kutoilima ardhi kila mwaka wa saba"