sw_tn/lev/25/03.md

8 lines
405 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtaikatia matawi mizabibu yenu
Kuikatia matawi mizabibu ni kuyawezesha matunda kukua vizuri.
# Sabato ya pumziko la utulivu kwa nchi itashikwa
Kutoilima ardhi nikumezungumziwa kana kwamba ni pumziko la nchi. Hii yawweza kukutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kuishika Sabato ya pumziko makini kwa ajili ya nchi" au "yakupasa kuitii sheria ya Sabato kwa kutoilima ardhi kila mwaka wa saba"