sw_tn/lev/24/17.md

536 B

Maelezo Unganishi

Mungu anaendelea kumwambia Musa yawasayo watu kutenda mtu mwingine anapofanya mambo mabaya

ni lazima kwa hakika auewe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. "hakika yawapasa kumuua yeyote anayemuua mtu mwingine"

sharti amfidie

Jinsi anavyomfidia kwa weza kutamkwa wazi. : "yapasa amfidie kwa kumpa mwenye mali mnyama aliyehai"

uhai kwa uhai

Hii ni nahau inayomaanisha uhai mmoja ungechukua nafasi ya uhai mwingine. : "uhai mmoja kuchukua nafasi ya uhai mwingine" au "kumfidia yule aliyemuua"