# Maelezo Unganishi Mungu anaendelea kumwambia Musa yawasayo watu kutenda mtu mwingine anapofanya mambo mabaya # ni lazima kwa hakika auewe Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. "hakika yawapasa kumuua yeyote anayemuua mtu mwingine" # sharti amfidie Jinsi anavyomfidia kwa weza kutamkwa wazi. : "yapasa amfidie kwa kumpa mwenye mali mnyama aliyehai" # uhai kwa uhai Hii ni nahau inayomaanisha uhai mmoja ungechukua nafasi ya uhai mwingine. : "uhai mmoja kuchukua nafasi ya uhai mwingine" au "kumfidia yule aliyemuua"