sw_tn/lev/24/15.md

425 B

Maelezo Unganishi

Mungu anaendelea kumwambia Musa walichopaswa kumtendea mtu aliyemkufuru Mungu

imempasa kubeba hatia yake mwenyewe

Kuteseka kwa ajili ya dhambi kumezungumziwa kana kwamba alikuwa mtu abebaye hatia yake. : "Sherti ateseke kwa ajili ya dhambi zake" au "ni lazima aadhibiwe"

lazima auawe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni sharti watu watamuua" au "hakika yawapasa watu kumuua"