sw_tn/lev/24/15.md

12 lines
425 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo Unganishi
Mungu anaendelea kumwambia Musa walichopaswa kumtendea mtu aliyemkufuru Mungu
# imempasa kubeba hatia yake mwenyewe
Kuteseka kwa ajili ya dhambi kumezungumziwa kana kwamba alikuwa mtu abebaye hatia yake. : "Sherti ateseke kwa ajili ya dhambi zake" au "ni lazima aadhibiwe"
# lazima auawe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni sharti watu watamuua" au "hakika yawapasa watu kumuua"