sw_tn/lev/24/07.md

20 lines
579 B
Markdown

# Maelezo Ungajishi
Mungu anaendea kumwelekeza Musa juu ya vitu kwenye hema la kukutania
# Mtaweka uvumba safi kando ya kila safu
Uvumba labda ulifuata baada ya mikate. : "yapasa muweke uvumba safi katika kila safu"
# kuwa sadaka ya kuwakilish
Kile uvumba uliwakilishwa cha weza kutamkwa kwa uwazi> "ili kuwakilisha mikate kama sadaka" au kuwa sadak iwakilishayo mikate"
# kwa kuwa ni sehemu ya matoleo
"kwa kuwa waliichukua kutoka kwenye matoleo"
# matoleo kwa Yahweh yaliyofanywa kwa moto
"sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh" au "sadaka mnayoichoma kwa ajili ya Yahweh"