sw_tn/lev/24/07.md

579 B

Maelezo Ungajishi

Mungu anaendea kumwelekeza Musa juu ya vitu kwenye hema la kukutania

Mtaweka uvumba safi kando ya kila safu

Uvumba labda ulifuata baada ya mikate. : "yapasa muweke uvumba safi katika kila safu"

kuwa sadaka ya kuwakilish

Kile uvumba uliwakilishwa cha weza kutamkwa kwa uwazi> "ili kuwakilisha mikate kama sadaka" au kuwa sadak iwakilishayo mikate"

kwa kuwa ni sehemu ya matoleo

"kwa kuwa waliichukua kutoka kwenye matoleo"

matoleo kwa Yahweh yaliyofanywa kwa moto

"sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh" au "sadaka mnayoichoma kwa ajili ya Yahweh"