sw_tn/lev/24/03.md

783 B

Kauli Unganishi

Mungu anaendelea kumpa Musa maelekezo juu ya vitu katika hema la kukutania

Nje ya pazia lililoko mbele ya sanduku la maamzi

Kile kirai "sanduku la maamzi" huwakilisha ama zile mbao ziliandikwa juu yake au lile sanduka ambalo hizo mbao ziliwekwa ndani yake. Hivi vilitunzwa vema humo mahali patakatifu pa patakatifu, am bacho kilikuwa ni chumba nyma ya pazia ndani ya hema la kukutania. : "Nje ya pazia lililoko mbele ya mbao za sanduku la maamzi" au "Nje ya pazia

pazia

Hiki kilikuwa ni kitambaa kinene kilichoning;inizwa kama ukuta . hakikuwa kama pazia la dirishani la kitambaa chepesi.

tangu asubuhi hata jioni

tangu mawio mpaka machweo" au "usiku mzima"

Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu

Tazama maelezo ya sura 3:15