# Kauli Unganishi Mungu anaendelea kumpa Musa maelekezo juu ya vitu katika hema la kukutania # Nje ya pazia lililoko mbele ya sanduku la maamzi Kile kirai "sanduku la maamzi" huwakilisha ama zile mbao ziliandikwa juu yake au lile sanduka ambalo hizo mbao ziliwekwa ndani yake. Hivi vilitunzwa vema humo mahali patakatifu pa patakatifu, am bacho kilikuwa ni chumba nyma ya pazia ndani ya hema la kukutania. : "Nje ya pazia lililoko mbele ya mbao za sanduku la maamzi" au "Nje ya pazia # pazia Hiki kilikuwa ni kitambaa kinene kilichoning;inizwa kama ukuta . hakikuwa kama pazia la dirishani la kitambaa chepesi. # tangu asubuhi hata jioni tangu mawio mpaka machweo" au "usiku mzima" # Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu Tazama maelezo ya sura 3:15