sw_tn/lev/23/40.md

12 lines
448 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea na maelekezo yake juu ya sikukuu ya vibanda.
# makuti ya mtende ... matawi ya mierebi kutoka chemchemi za maji
Matumizi ya matawi yanayoweza kuwa ni 1) kujenga vibanda vya muda au 2) kuyapunga kama sehemu ya kusherehekea kwa kwa shangwe, Baadhi ya tafsiri hutamkwa wazi matumizi yake; matoleomengine huacha kuesema uwazi wake.
# Mierebi
Miti yenye majani marefu, membamba, ambayo huota karibu na maji.