sw_tn/lev/23/40.md

448 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea na maelekezo yake juu ya sikukuu ya vibanda.

makuti ya mtende ... matawi ya mierebi kutoka chemchemi za maji

Matumizi ya matawi yanayoweza kuwa ni 1) kujenga vibanda vya muda au 2) kuyapunga kama sehemu ya kusherehekea kwa kwa shangwe, Baadhi ya tafsiri hutamkwa wazi matumizi yake; matoleomengine huacha kuesema uwazi wake.

Mierebi

Miti yenye majani marefu, membamba, ambayo huota karibu na maji.