sw_tn/lev/23/39.md

291 B

Kuhusu Sikukuu ya vibanda

Tazama katika sura ya 23:33

siku ya kumi natano ya mwezi

Huu ni mwaka wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na tano ni karibu na mwanzoni na mwezi wa Oktoba kwenye kalenda Magharibi.

mmeyakusanya ndani matunda

"baada ya kuwa mmeyakusanya mazao"