sw_tn/lev/23/39.md

12 lines
291 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuhusu Sikukuu ya vibanda
Tazama katika sura ya 23:33
# siku ya kumi natano ya mwezi
Huu ni mwaka wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na tano ni karibu na mwanzoni na mwezi wa Oktoba kwenye kalenda Magharibi.
# mmeyakusanya ndani matunda
"baada ya kuwa mmeyakusanya mazao"