sw_tn/lev/23/33.md

8 lines
315 B
Markdown

# siku ya kumi natano ya mwezi wa saba
Hii ni karibu na mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba katka lenda ya Magharibu.
# Sikukuu ya Vibanda
Hii ni sherehe wakati ambao watu wa Israeli waliishi katika vibanda vya muda kwa siku saba kama njia ya kukumbuka muda walioutumia wakiishi kwenye jangwani baada ya kutoka Misri.