# siku ya kumi natano ya mwezi wa saba Hii ni karibu na mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba katka lenda ya Magharibu. # Sikukuu ya Vibanda Hii ni sherehe wakati ambao watu wa Israeli waliishi katika vibanda vya muda kwa siku saba kama njia ya kukumbuka muda walioutumia wakiishi kwenye jangwani baada ya kutoka Misri.