sw_tn/lev/23/26.md

364 B

siku ya kumi ya mwezi huu wa saba

Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Ebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwisho wa mwezi wa Septemba katika kalenda ya Magharibi.

siku ya upatanisho

Katika siku hii kila mwaka kuhani mkuu alifanya dhabihu kwa Yahweh ili kwamba Yahweh angeweza kusamehe dhambi zote za watu wa Israeli. : "siku ya dhabihu kwa ajili ya msamaha"