sw_tn/lev/23/26.md

8 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya kumi ya mwezi huu wa saba
Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Ebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwisho wa mwezi wa Septemba katika kalenda ya Magharibi.
# siku ya upatanisho
Katika siku hii kila mwaka kuhani mkuu alifanya dhabihu kwa Yahweh ili kwamba Yahweh angeweza kusamehe dhambi zote za watu wa Israeli. : "siku ya dhabihu kwa ajili ya msamaha"