sw_tn/lev/23/23.md

502 B

Katika mwezi wa saba., siku ya kwanza ya mwezi huo

Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrani. Siku ya kwanza ni karibu na katikati ya mwezi wa Septemba kwenye kalenda ya Magharibi.

pumzika makini

kipindi cha wakati ambacho kilikuwa cha ibada na siyo kwa ajili ya kazi.

lazima mtoe dhabihu inayofanywa kwa moto kwa Yahweh

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kutoa dhabihu mnayoifanya kwa mto kwa Yahweh" au "ni sharti mteketeze sadaka kwa Yahweh juu ya madhabahu"