sw_tn/lev/23/23.md

12 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mwezi wa saba., siku ya kwanza ya mwezi huo
Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrani. Siku ya kwanza ni karibu na katikati ya mwezi wa Septemba kwenye kalenda ya Magharibi.
# pumzika makini
kipindi cha wakati ambacho kilikuwa cha ibada na siyo kwa ajili ya kazi.
# lazima mtoe dhabihu inayofanywa kwa moto kwa Yahweh
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kutoa dhabihu mnayoifanya kwa mto kwa Yahweh" au "ni sharti mteketeze sadaka kwa Yahweh juu ya madhabahu"