sw_tn/lev/23/12.md

421 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.

sehemu mbili za kumi ya efa

Efa moja ni sawasawa na lita 22. "lita nne na nusu"

Moja ya nne ya hini

Hini moja ni sawasawa na lita 3.7. : "lita moja"

wala nafaka iliyokaangwa au nafaka mpya

wala nafaka iliyopikwa au isiyopikwa

Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu

Tazama lilivyofafanuliwa katika 3:15