# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda. # sehemu mbili za kumi ya efa Efa moja ni sawasawa na lita 22. "lita nne na nusu" # Moja ya nne ya hini Hini moja ni sawasawa na lita 3.7. : "lita moja" # wala nafaka iliyokaangwa au nafaka mpya wala nafaka iliyopikwa au isiyopikwa # Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu Tazama lilivyofafanuliwa katika 3:15