forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
636 B
Markdown
12 lines
636 B
Markdown
# Siku ya kwanza ni lazima mjitenge kwa pamoja
|
|
|
|
"Yawapasa kuitenga siku ya kwa kwanza ili kukusanyika pamoja" au "Ni lazima muione siku ya kwanza kuwa tofauti na kukusanyika pamoja.
|
|
|
|
# mtamletea Yahweh matoleo ya chakula
|
|
|
|
Wataiwasilisha kwa Yahweh kwa kuteketeza juu ya madhabahu.
|
|
|
|
# Siku ya saba ni ya kusanyiko takatifu lililotengwa kwa ajili ya Yahweh
|
|
|
|
Yale matakwa ambayo watu wanayakusanyikia katika siku hiyo yamezungumziwa kana kwamba siku hiyo ilikuwa kusanyiko. Kuwa umetengwa kwa Yahweh humaanisha kwamba wanapokusanyika, ni lazima wamwabudu Yahweh. : "Siku ya saba ni ambayo yawapasa kukusanyika pamoja ili kumwabudu Yahweh.
|