sw_tn/lev/23/07.md

636 B

Siku ya kwanza ni lazima mjitenge kwa pamoja

"Yawapasa kuitenga siku ya kwa kwanza ili kukusanyika pamoja" au "Ni lazima muione siku ya kwanza kuwa tofauti na kukusanyika pamoja.

mtamletea Yahweh matoleo ya chakula

Wataiwasilisha kwa Yahweh kwa kuteketeza juu ya madhabahu.

Siku ya saba ni ya kusanyiko takatifu lililotengwa kwa ajili ya Yahweh

Yale matakwa ambayo watu wanayakusanyikia katika siku hiyo yamezungumziwa kana kwamba siku hiyo ilikuwa kusanyiko. Kuwa umetengwa kwa Yahweh humaanisha kwamba wanapokusanyika, ni lazima wamwabudu Yahweh. : "Siku ya saba ni ambayo yawapasa kukusanyika pamoja ili kumwabudu Yahweh.