sw_tn/lev/22/24.md

12 lines
661 B
Markdown

# Usilete mkate wa Mungu wako
"Kate" hapa huwakilisha chakula kwa ujumla. Mungu hakula dhabihu hasa. Makuhani wangetoa dhabihu juu ya madhabahu ya Mungu, na wangekula sehemu ya nyama. : "hataleta mnyama kuwa matoleo ya chakula kwa Mungu wenu"
# Kutoka mkononi mwa mgeni
Neno "mkono" huwakilisha mtu mzima. Inaonyeshwa kwamba Waisraeli wasingeweza kutumia wanyama kama dhabihu iwapo wangewanunua kutokwa wageni ambao walihasi wanyama wao wakifanya wasikubalikekwa Mungu. : "ambaye mgeni amewapa , kwa sababu wao huhasi wanyamaa wao"
# hawatapokelewa kabisa kwa ajili yako
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Yahweh hatawapokea kutoka kwenu"